Kati maisha kuna siri zimejificha kwa sababu lau kama zingewekwa wazi basi watu wengi wangeingia katika tuhuma za kutokuwa waaminifu,
Kwa sababu hii ndio maana maisha yana siri ndani yake,
Leo ningependa kuzungumzia siri moja ambayo ni fursa kubwa ya mafanikio.
Siri yenyewe ni kama ifuatayo mimea.
Kwa kawaida mimea ni moja kati ya siri kubwa iliojificha ambayo kupitia mimea watu kupata mafanikio makubwa sana na wengine hufika mbali mpaka kujitahidi kadri wawezavyo katika kuhakikisha wanawaelimisha watu wengine juu ya faida ya mimea katika upande wa mafanikio.
Ndugu msomaji ninavyozungumzia mimea ni ninamaanjsha kilimo cha mimea ya aina mbalimbali kama vile mpungu, mpapai, mwembe, mgomba tumbaku n. k.
Kiufupi mimea ni katika mazao mazuri ambayo yanayatajirisha watu wengi,
Watanzania tuzinduke juu ya kuipenda mimea kwa kupanda miti kwa ajili ya kujipatia kipato,
Mara ngapi maeneo yetu wamechukua watu wa kigeni na sisi tunakua wafanya kazi tu. Sina maana ya kwamba wahekezaji wasiwepo au sipendi uwepo wao ila nachomaanisha ni kwamba wao wanapata mafanikio makubwa na ndio maana wamekuja kuwekeza kwetu na sisi tunayo fursa ya kuwaiga wahekezaji ili tupate mafanikio makubwa kupitia mimea yetu.
Leo nitazungumzia mmea mmoja ambao unaleta mafanikio makubwa endapo ukiutunza kwa uweredi wa hali ya juu.
Mmea huo na (tumbaku) zao hili ni zao ambalo limetajirisha watu wengi na ni rahisi tena lina muda mfupi wa wastani nzuri.
Tumbaku ni zao ambalo linachangia kuingiza pato la nchi yetu ya Tanzania🇹🇿
Kwa kumalizia ni juu yetu tuipende mimea na kutafuta mafanikio kwa juhudi za hali ya juu ili tuweze kunufaika na mimea yetu.
Mwandishi wenu mpendwa...
Read moreBecause it is a romantic place There is no any interaction Or disturbances.Fully...
Read moreIt's my...
Read more